Heri tungechagua NJIA BORA Ninamlisha ng?ombe wangu kilo 2 (1.5 Kasuku tins) za dairy meal kila siku kwa miezi kumi Tulipata kilo 2000 za maziwa mwaka huu GHARAMA SAWA - MAZIWA ZAIDI NJIA BORANJIA YA KAWAIDA Ninafurahi tulichagua NJIA BORA na kupata maziwa na PESA zaidi PATA! KILO 500 ZAIDI ZA MAZIWA Ninamlisha ng?ombe wangu kilo 8 (6 Kasuku tins) za dairy meal kila siku kwa miezi mitatu ya kwanza Katika hiyo miezi mitatu, tunapata kama chupa 20 (15 kg) za maziwa kila siku Tulipata kilo 2500 za maziwa mwaka huu Baada ya ng?ombe wangu kuzaa,ninanunua gunia 10 za dairy meal na kumlisha majani mema wakati wote 70kg 70kg Katika miezi saba inayofuata, ninalisha majani pekee tunapata kama chupa 8 (5.5 kg) za maziwa kila siku 70kg 70kg Baada ya ng?ombe wangu kuzaa, ninanunua gunia 10 za dairy meal na kumlisha majani mema wakati wote Katika miezi saba inayofuata, tunapata kama chupa 9 (6 kg) za maziwa kila siku Katika miezi mitatu ya kwanza, tunapata kama chupa 11 (8 kg) za maziwa kila siku MAZIW A ZAIDI Compiled by: Dr. John Kariuki (ILRI) and Margret Wambugu (MOARD) For more information contact The Ministry of Agriculture / KARI Leaflet supported and funded by DFID through The Small Holder Dairy Project Produced by Development Communcation and Mediae Trust